mvaa viatu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 350
- 522
aisee bora tu wajipange maana walifikia pabaya nishawahi kula chipsi zilizolala sijui zilikuwa za jana yake, mbaya kwelikweliNizaidi ya mwezi sasa haifanyi kazi,au ndio mtikisiko wa uchumi umewafikia na wao?kwa watu wa mikoa ya nyanda za juu kusini watakua wanaifaham vizuri hii hotel.na jirani yake pia al jazira inapumulia mashine!View attachment 978612View attachment 978618
Sio chakula cha bure tu na hela pia utoeUSHINDANI WA KIBIASHARA MKUBWA.... wanategemea mabus hao, sasa mabus nayo
madereva ili walete gar kwenye hotel
yako wanataka wapewe chakula bureeee
imenikumbusha enzi nasoma kawawa jkt tulikuwa tukifika hapo tunapewa paja kuuubwaaa nadhani walikuwa ndege john sio kuku
hahahaa product za kawawa hizo aisee...mkifika mafinga mnakutana na mahindi ya kuchoma makuubwa
Enzi hizo tupo na kina anty Ezekiel yusufu mlela na wengine kbao
Enzi hizo tupo na kina anty Ezekiel yusufu mlela na wengine kbao
Na wew ni wa kawawa?ohhh sekioni je ?
Am the One i studied there on behalf let me say thanks for your appreciationshule niliyokua nawapa salut wakat ule ni mafinga seminary..very smart..
Na wew ni wa kawawa?
Kweli imekufaNakumbuka enzi hizo nasoma-nikiwa narudi likizo
R.I.P Comfort , asante sana kwa choo chenu kiliepusha wengi na fedheha za mchafuko wa tumbo...
Enzi hizo tupo na kina anty Ezekiel yusufu mlela na wengine kbao