Hivi huyu nimfanye nini?

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Kabadilika sikuizi yaani ukimpigia simu hapokei, ukiingia Online Whatsapp unamuona. Anakupigia pale anapojisikia yeye, anakuuliza unaenda wapi unamwambia natoka naenda sehemu ananuna kwanini hujamwambia kama unatoka, unamwambia nimekupigia hukupokea analaumu ungetuma text unamwambia sijatuma cuz mekuona online unachat tena unapost had status uliona missed call why hukuanza kuniatafuta ndio uendelee na mambo yako, ananuna.

Je, nimfanyaje huyu mwanamke? Maana huku alipofikia sasa kama kazoea haka kamchezo anaona missed call anapotezea anakutafuta muda atakao yeye
 
Mtu wako kajitwisha ndoo ya maji kichwani,mkononi ana kidumu sasa.
Hivyo basi mkono unapoelemewa yeye anapunguza maji ya kwenye ndoo kwa kuyamwaga kidogo kidogo

Mpaka kufika nayo home yapo nusu ya ndoo
 
Back
Top Bottom