ahhaha ebana kumbe jamaa yoso hivo eeh mpaka anakuwaga popobawa!? hahaha asante kwa taarifa mkuu nampangia maombiShukuru Mungu hajaja kipopo bawa! Saa hii ungekuwa unasema mengine.
we nimejipanga kama nilivojipanga kwemye ndoto maana nilichukua zile shoka zake nikaziweka chini nikwambia unakuja kuniibia!? ile anashangaa shangaa nikaita polisi wakamweka kwa ndinga yao sa cha ajabu akawa anasingizia niko nae..bahat nzur askar walimpuuza maana waliniona nikija peke pale kwa ATMn
Msubiri atakucheki SAA sita usiku hahahah
h
ahhaha ebana kumbe jamaa yoso hivo eeh mpaka anakuwaga popobawa!? hahaha asante kwa taarifa mkuu nampangia maombi
Mi nikazani umemuota yule nguruweWadau,
Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
huyu jamaa hatari sana...na aje atoe tafsiri ya ndoto hii haraka kama yeye hausikiatakua anayajua mambo ya kochawi sana na anayapenda, lakini sio mchawi ila ana elimua hii ya gizani
Mi nikazani umemuota yule nguruwe
Porojo tu. Muongo tu huyo na wajinga ndiyo waliwao.Wadau,
Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
Mshana amefuzu na ushahidi ni Certificate of ServiceWadau,
Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
Porojo tu. Muongo tu huyo na wajinga ndiyo waliwao.
Kiki za kijinga tu.
Kitambo ipi hiyo wakati wewe ndio unakamilisha mwezi hapaWadau,
Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
wewe unadhani watu tunakaa kiboya hapa jf..mm niko kitambo toka inaitwa jamboforums ..ni kwamba nina Id fake zaidi ya 100 maana nimechezea ban za kutosha sana hapa JFKitambo ipi hiyo wakati wewe ndio unakamilisha mwezi hapaView attachment 1202434