Hivi huyu Mshana Jr ni mlozi kweli au ndo Kiki zake ndani JF maana haiwezekani nimuote

TheSpam

Senior Member
Aug 15, 2019
180
257
Wadau,

Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
 
n
Msubiri atakucheki SAA sita usiku hahahah
we nimejipanga kama nilivojipanga kwemye ndoto maana nilichukua zile shoka zake nikaziweka chini nikwambia unakuja kuniibia!? ile anashangaa shangaa nikaita polisi wakamweka kwa ndinga yao sa cha ajabu akawa anasingizia niko nae..bahat nzur askar walimpuuza maana waliniona nikija peke pale kwa ATM
 
h

ahhaha ebana kumbe jamaa yoso hivo eeh mpaka anakuwaga popobawa!? hahaha asante kwa taarifa mkuu nampangia maombi

Hapana ndugu. Isipokuwa kwenye post umeeleza na kupata shaka ya uchawi, na tujuavyo wachawi wana uwezo mwingi. Hivyo, haitoshangaza tukisikia hayo!
 
Wadau,

Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
Mi nikazani umemuota yule nguruwe
 
Porojo tu. Muongo tu huyo na wajinga ndiyo waliwao.

Kiki za kijinga tu.
 
Wadau,

Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
Mshana amefuzu na ushahidi ni Certificate of Service
mshana.JPG
mshana.JPG
mshana.JPG
 
Siku hizi hata Google ni mganga wa asili
uki google tatizo lolote lile la kuhitaji dawa za asili utakuta kuanzia
za Africa hadi India hadi Europe...

Sema watu wengi wavivu tu

Ni rahisi mtu hata ku copy material Youtube za wahindi kutangaza uganga
 
Wadau,

Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana kuna ndoto nimeota Jana na jamaa alikua ndani ya ndoto ndo alinifanyia ulozi live ama!? iweje nimuote tena ndoto mbaya nikiwa katika ATM natoa mihela yeye anakuja na mipanga na shoka na kundi la wahun nikawaita polisi yeye akawa ananisingizia kuwa niko nae..wadau hebu nisaidie usikute ni mambo yake anayakoroga huko same kisiwani kwa wapare wenzake
Kitambo ipi hiyo wakati wewe ndio unakamilisha mwezi hapa
Screenshot_20190909_122434.jpeg
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom