Habari wadau na wana wa humu Naomba kujua kidogo kuna huyu ndugu hapa Amani kwa kaka voda milionea huwa naona anatajwa sana na wasanii kuna nyimbo kama ya jay mo na langa walimtaja sana kwenye nyimbo zao Kuna vitu naskia anafanya sijajua ni vitu ngani? Wadau mnitoe mwanga.