Hivi huu uwamuzi wangu upo sawa?

Hivi huu uwamuzi wangu upo sawa?

Joined
Aug 4, 2015
Posts
9
Reaction score
2
Kuna msichsna nampenda sana tena zaidi ya neno lenyewe,kwa wasichana wa tanzania wakitaka waamini kuwa fulani ananipenda sana umtamkie kwa kingeleza "i love you so much$ harafu umpige busu basi hapo roho yake nyeupeee kama sañda........
msichana huyo tulimalaza kidato cha nne mwaka jana na sasa yupo shule tofauti na mimi....nilimtongoza na mara nyingi huwa ananizuungu sha lakini kwa ishara anaonyesha hali fulani.. japo hajanikubalia lakni mimi naona kama tupo pamoja...uamuzi gani nimechukua?..jinsi ninavyompenda nimeamua kumuweka kwenye wallpaper yangu kwenya simu ili hali tu nisimsahau....nishaulini niponsawa au najisumbua tu.....
 
aaah nimecheka jamani! ngoja wakubwa waje wakuweke sawa dogo!
 
nasubiri uzi wako kwenye jukwaa la elimu kule"kwa matakeo haya ntapata chuo kweli? " nimekupa title kabisa ili ukijakufungua uzi usiangaike sana, na mimi ntakujibu ivi" chuo cha madrassa utapata usihofu"
 
Mi naona aibu utafikiri mi ndo nimeanzisha uzi. I think, Kuna haja kuweka kigezo cha umri 20+, ili mtu ajiunge jf.
 
Wenzako wanahangaika na masomo we uko na mapenzi,,, mwisho wa siku hao wanaohangaika na masomo ndiyo watakaokuwa na uwezo wa kuwa na huyo msichana,,,wakati we
umeshafeli na unatembeza Karanga kwa kuwa muda wa huhangaikia masomo we unahangaikia mapenzi,,
 
Uamuzi wako siyo sahihi,,

mkuu kwa style hii atamilikiwa mpaka yeye
 
Kuna msichsna nampenda sana tena zaidi ya neno lenyewe,kwa wasichana wa tanzania wakitaka waamini kuwa fulani ananipenda sana umtamkie kwa kingeleza "i love you so much$ harafu umpige busu basi hapo roho yake nyeupeee kama sañda........
msichana huyo tulimalaza kidato cha nne mwaka jana na sasa yupo shule tofauti na mimi....nilimtongoza na mara nyingi huwa ananizuungu sha lakini kwa ishara anaonyesha hali fulani.. japo hajanikubalia lakni mimi naona kama tupo pamoja...uamuzi gani nimechukua?..jinsi ninavyompenda nimeamua kumuweka kwenye wallpaper yangu kwenya simu ili hali tu nisimsahau....nishaulini niponsawa au najisumbua tu.....

Nenda tuisheni, mapenzi tuachie wakubwa.
 
humu tunaweza kuta tunaongea na watoto wetu kabisa... mode waweke option za kuchapa fimbo watoto wanapomisbehave
 
uko sahihi kabisa..sasa ukipewe school feez tumkabidhi ili tumchukue jumla
 
o level tu ashaanza kubusu mademu mtu kama huyu hadi afike masters siatakuwa anawa-express yourself mabinti
 
Back
Top Bottom