Hivi huu ugomvi umeshindikana kuwa solved?

Hivi huu ugomvi umeshindikana kuwa solved?

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
Hivi huu ugomvi wa ManPac na Mayweather kwanini serikali ya marekani imeufumbia macho na kwanini wasiusolve kwa njia za kidemokrasia? UN nayo imekaa kimya hadi watu wanataka kupigana. Kweli vita haviwezi kuisha.
 
Ha ha ha haaaaa! Umenivunja mbavu sana aisee hadi nimejamba kwa kicheko!
 
Tangopori jamaa wamepigana bwana....na cha kushangaza hawajakamatwa...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
duh! ivi kwani waliudhiana nini hasa hadi wakashindwa kuyazungumza?

ugomvi sio mzuri
 
Back
Top Bottom