Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 184
huku sio kwao binti nenda majukwaa mengine usije ukadumaaa!mi bado kuvunja sinia, msiniharibu
mi bado kuvunja sinia, msiniharibu
Nimefarijika matron!dah nazjaz kumbe zile post zako haziendani na umri wako ?
Nimefarijika matron!
-kuna maandiko katika biblia yanasema mume ana haki juu ya mwili wa mkewe alikadhalika mke juu ya mwili wa mumewe.....
-sheria ya ndoa ya tz (LMA 1979) mume habaki mkewe ispokuwa kama wawili hawa wapo under separation hapa talaka inakuwa bado kutolewa....
-hivyo kwa mujibu wa dini na sheria mume na mke wanaolala chumba kimoja hawabakani hata kama mmmoja hajaridhia tendo...-
-my take; its not health for spouses to have sex before resolving their conflicts or when one has not given his/her concent
-wanaoathirika zaidi ni wanawake kwa sababu kwao tendo la ndoa huusisha hisia zaidi its more than physical need , kwa hiyo kama hajaridhia ni rahisi kuadhirika kisakolojia.
-sex isitumike kama silaha ya kunyimana haki yenu ya ndoa.
Relax..... (usiuruhusu)Mama usingizi haukuji nimejikuta na msongo wa mawazo ikabidi nipige chabo JF ,bestlady ngoja nilale nisije kukulilia kesho
take care
Ni kweli kama sio kweli. Hata wanaume wa kiafrika wanafaham kuna wakati hutakiwi ku-insist kama mwenzio amekataa. Ila kwa upande mngine ni kweli, kubakwa kuna definitions nyingi na sio lazima tukubaliane na definition ya wazungu.kwa wazungu haya
kwa waafrika inafahamika ukikubali kuolewa unakubali yote....
mi bado kuvunja sinia, msiniharibu