Hivi huko utumishi(psrs) kuna madudu gani?

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Messages
5,813
Points
2,000

Ndikwega

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2012
5,813 2,000
Nafasi za kazi zilizotangazwa May 28,2012 pamoja June baadhi ya hizo mpaka sasa hawajaita waombaji kwenye usili. Swali:Kwanini hawa jamaa wanatangaza nafasi za kazi kabla hawajajipanga? Tunatakiwa kuonesha kukerwa na tabia za kijuha hizi, yaani tunapelekwa tu na akili zao, huu ni ujinga. Kama mpo wahusika humu acheni upumbumbavu maana ni mbaya sana kutumaini jambo halafu na huyo mwenye kutekeleza anakupuuza. Mshindwe kabisa Kwa jina la YESU na tabia za kukomoa watoto wa masikini.

Tusome kwa taabu,halafu mateso mazito kwenye kupata kazi. Ni bora ijulikane hamtangazi kabisa kuliko ujinga huu.
 

xiande

Member
Joined
Oct 3, 2012
Messages
90
Points
0

xiande

Member
Joined Oct 3, 2012
90 0
heshma zenu wakuuu
mm ndo huwa nasema kila mara hili jamboa kuwa kama hela ya kuajiri watu hamna basi bora mkae kimya kijulikane kimoja na sio kuleta unafiki tu hapa na nahic wanatangaza ajira kwenye misimu ya vipind vya bunge .bunge likimalizika hamna kitu
 

Forum statistics

Threads 1,390,633
Members 528,220
Posts 34,057,068
Top