Mjenda Chilo
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 1,469
- 513
Nashangaa nyumba za makazi zimegeuzwa hostel katikati ya makazi ya watu. Bahati mbaya hao waliopangishwa ni kama vichaa. Wanapiga mziki na kupiga kelele mpaka saa nane usiku bila kubughudhiwa hali wakifanya jamii ikose usingizi. Ngoja tuone mwisho wake