Hivi hoja bungeni inategemea nini?

KIGWANYA

Member
Apr 14, 2016
81
103
13173956_243268152705052_5119710756325144207_n.jpg


hivi mbunge anaweza kuwa na mchanganyiko kama huu halaf akawa na hoja zinye kuunyooka bungeni?
wadau leteni maoni.
 
Hizo ndio elimu za hapa na pale. Ccm ni wazee wa kufoji na hakuna wa kuhoji.(wazee wa kupenda vya kunyonga).
 
Amezaliwa Sept 1978 ameanza shule ya mzingi 1983 na shule huanza Januari hivyo atakuwa amenza shule ya msingi akiwa na miaka 4 na miezi 4! Mmmh ????????????????
 
Back
Top Bottom