Wao walikuwepo wewe ndio tukuulize ulikua wapi, I hate hypocrits, cheap staff what are you trying to insinurate? kwamba hii issue ya TUCTA ni upuuzi? sad very sad unachojua ni kujadili watu issues hapana halafu unataka kujua wakali wa issues walikua wapi, wako kwenye circles zao za wenye akili