Hivi hii tabia ya kuwachapa waalimu viboko Tanzania itaisha lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii tabia ya kuwachapa waalimu viboko Tanzania itaisha lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ab-Titchaz, Apr 24, 2010.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Apr 24, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Tanzania union sues after teachers caned  Tanzania's teaching union says it will sue the government after four teachers were publicly caned by a local militia.

  The punishment had "dehumanised" the teachers, one of whom was pregnant, said union official Ezekiah Uluoch.

  He told the BBC that the official Sungusungu militia had caned the teachers after they were late for a meeting in the northern Shinyanga area.

  Last year, a local Tanzanian official was sacked for ordering police to whip teachers for being late for school.

  "We are condemning the behaviour of the militia group and we hope the people will be taken to a court of law," Mr Uluoch told the BBC's Focus on Africa programme.

  He said that as the Sungusungu militia was part of the state security structure, the Tanzania Teachers' Union was holding the government responsible.

  http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8640959.stm
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Tabia hii itakwisha siku walimu wenyewe wakigundua kuwa nguvu yao katika nchi hii ni kubwa kisiasa na kusita kushirikiana na chama twawala kuiba kura.
  Wao wana uwezo wa kukiweka au kukiondoa madarakani. Nasema wanaweza.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Apr 24, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,592
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  Tabia hii ni ya kulaaniwa kwa nguvu zote! nadhani imetokea mara ya pili kwa sababu ile mara ya kwanza hatua madhubuti hazikuchukuliwa.
   
Loading...