hivi hii ni sawasawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi hii ni sawasawa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Remmy, Dec 2, 2009.

 1. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  jamni wana JF tubadilishane mawazo, nnimeona kama vyuo vikuu 2 specifically SUA na Mzumbe kufundishwa na Proffessors wazee kabisa hadi wanatia huruma darasani wakati vijana waliograduate na masters zao ni wengi sana, sasa sielewi ni kweli wamekosa manpower au? kwa mfano mzuri tunafundishwa na Mhindi mmoja mzee kwelikweli, tembea yake ya shida anapengo na lafudhi yake ni yashida sana kumuelewa, akitoka kwenye lecture naambulia less than 50%. najiuliza sana if we donot have qualified people who could replace this honourable.
   
Loading...