Acha basi kunichekesha hilo neno ubatizo pamoja na hiyo picha nimecheka sana..Ila tulisema hakuna na mvua na tuliiomba na kiukweli tumepewaKwanini mkuu? Au wewe unaona nini tunapara watanzania zaidi ya ubatizo
Aibu Dar jiji kubwa baada miaka 50 na zaidi ya Uhuru bado Hamna miundombinu na drainage system ya kueleweka,maji yanafurika kwenye nyumba za watu.
Hehe naona waliokuwa wakiomba walisahau kuweka kiwango cha kile wanachokiombaMwaka jana wakati tuna kabiliwa na ukame tulilia sn. Kila mtu kwa iman yake iwe kanisan au misikitin tuliomba mvua ili kunusulu mazao na mifugo Mungu akajibu maombi. Tumepata tena......................... Nn Mungu atupe jamani?
HeheheheYaani jamaa anatokwa jasho wakati wa baridi