Ndio tatizo la fasihi simulizi. Kadri inavozidi safiri toka generation moja kwenda nyingine, inazidi kuongezwa chumvi au kupunguzwa sukari. Usikute huyo "Mtu wa Ndani" hakumaanisha hivyo, ila "jamaa yako wa nje" akaelewa vingine na wewe akakuletea vingine. Sina uhakika kama na wewe umeleta kama ulivoambiwa na "Jamaa wa Nje".
BTW kuna mengi sana yatatokea kabla ya 2016, ikiwemo Rais mpya, Baraza jipya, Wabunge wapya, Katiba mpya etc, so it's too early kutabili aisee.