Hivi hii ni kweli jamani?

Mkuu let say mtoa uzi ndo anafanya hiyo research..embu mpe ushirikiano ww ukiwa kama sample

mimi nashindwa kujua kwa sababu sina idea kuwa urefu unaanzia sentimita ngapi. but the objects of my "mikasi" hawajawahi kulalamika
 
lubajaro Mdomo wake teari unaonyesha aliimudu vyema ile nyeti ya jibaba...:biggrin:

Usinitanie jibaba ana punzi za kutosha tena ni balaa, mdada atakuwa alikuwa anaomba poo, hawezi kummudu
 
Last edited by a moderator:
Nakiri ni sawa kwa uchunguzi binafsi 75% ilikuwa ndivyo...
 
Nimewahi kusikia mara nyingi ...labda sasa niifanyie uchunguzi.
 
Mdau yuko sahihi sana na hii resech c ya mtu mmoja.
 
Habarini wana MMU?

Kuna habari niliwahi sikia hapo zamani kuwa ukubwa wa mdomo kwa akina dada na mwanya kati ya vidole vya miguu hasa kidole gumba na cha nne vina uhusiano na ukubwa wa papuchi?

Wadau wenye uzoefu wekeni data za tafiti zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…