mkuu hapo ulikuwa unatafutiwa sababu siku nyingi kwan inaonyesha mapenz yalishapotea siku nyingi. Najua inakuuma sababu kawahi kukupiga kibuti wewe na imezoeleka wanaume ndo huanza kugawa vibuti. Hapo mkuu ukubali tu ulioyoambiwa usianze kung'ang'ania sehemu usiyotakiwa,she gonna make u her slave.kimbia fasta babuuu!
Unasoma? au yeye anasoma? I mean secondary?Hello jf!!eti kuna galfriend wangu kanambia ''its Over'',kisa nina wk moja cjamtafuta kwenye cmu,wajameni hii ni sababu ya wa2 kuachana kweli?infact ye mwenyewe hajawah ntafuta,wala hata hajataka kuulza ukimya wangu ulikua ni kwa sababu gani,ye kanambia 2achane 2,hadi sa hzi cjamjbu chochote,je naweza ku2mia maneno gani ya busara kumwelewesha wakuu??
Wewe na weee,cku zote hizo umemchunia mwenzio ndio nn,cha msingi usimjibu mda huu, kwa vile leo wiki end na mwisho wa mwezi ukitoka job pita mahali mnunulie kitu ambacho anakipenda sana then tafuta namna ya kujua alipo kama ni hm mwibukie huko makayaongee then mtoko wa ukweli hope ucku wenu utakuwa mzuri na mtaanza ukurasa mpya,coz huyo bado anakupenda na hiyo msg ujue kakumiss.Hello jf!!eti kuna galfriend wangu kanambia ''its Over'',kisa nina wk moja cjamtafuta kwenye cmu,wajameni hii ni sababu ya wa2 kuachana kweli?infact ye mwenyewe hajawah ntafuta,wala hata hajataka kuulza ukimya wangu ulikua ni kwa sababu gani,ye kanambia 2achane 2,hadi sa hzi cjamjbu chochote,je naweza ku2mia maneno gani ya busara kumwelewesha wakuu??
Wewe na weee,cku zote hizo umemchunia mwenzio ndio nn,cha msingi usimjibu mda huu, kwa vile leo wiki end na mwisho wa mwezi ukitoka job pita mahali mnunulie kitu ambacho anakipenda sana then tafuta namna ya kujua alipo kama ni hm mwibukie huko makayaongee then mtoko wa ukweli hope ucku wenu utakuwa mzuri na mtaanza ukurasa mpya,coz huyo bado anakupenda na hiyo msg ujue kakumiss.
Sasa kwann hukumuaga na wewe jamani, basi mtumie msg ya kuapologyz, au ikiwezekana mpigie simu kbs au aingie on line mchati then myamalize,mmbembeleze mtoto bado anakupenda hapo anakutega tu!mkuu,me nimekuja kupga supp huku dar na yeye yuko arusha!
Sasa kwann hukumuaga na wewe jamani, basi mtumie msg ya kuapologyz, au ikiwezekana mpigie simu kbs au aingie on line mchati then myamalize,mmbembeleze mtoto bado anakupenda hapo anakutega tu!