Kumekuwa na form v 2nd selectin hatukuchukuliwa mungu c athuman 3rd selctin zmetoka 2meachwa hvi tamisem ina2fikiriaje wakt 2na vgezo vyote vya kwenda advance mm nna credt 1.6gpa maon yenu wakuu au kuna special program nyingne 2itegemee??
yaani umejibu thanks mkuu as if huyo aliekujibu ni serikali,jipange kwa namna nyingine km kuna nafasi ya kufanya mengine anza kujiandaa ili serikali wakitoa uende wasipotoa upige hayo mengine
mimi nina mdogo wangu alikuwa na 1.4 na kapangiwa shule second selection.. hujatendewa haki bro, but don't worry there may be somewhere else to take you