central midfielder Senior Member Apr 14, 2023 132 189 Aug 15, 2023 #1 Ndugu zangu kwema? Hivi hii Google Drive inaweza kuhifadhi audio 600 au ina kikomo? Msaada kwa anayefahamu. forgive me.
Ndugu zangu kwema? Hivi hii Google Drive inaweza kuhifadhi audio 600 au ina kikomo? Msaada kwa anayefahamu. forgive me.
NetMaster JF-Expert Member Sep 12, 2022 1,454 4,854 Aug 15, 2023 #2 Google drive unapewa nafasi ya GB 20. Unaweza kutunza hata miziki elf 5 maana kwa wastani ukubwa wa audio ni MB 4 (GB 0.004)
Google drive unapewa nafasi ya GB 20. Unaweza kutunza hata miziki elf 5 maana kwa wastani ukubwa wa audio ni MB 4 (GB 0.004)
aise JF-Expert Member May 16, 2018 4,174 12,221 Aug 15, 2023 #3 Audio 600 inategemea zina ukubwa gani!