Hivi hii dini inaitwaje?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,916
Reaction score
3,748
Mtu haend kanisani wala msikitin ila anamuamini mungu na kumwabudu. ila kuenda kwake kanisan n mwiko?
 
Huyo Hana dini. Usikariri Kila anayemuamini Mungu basi ana dini. Dini imeletwa na mwanadamu,Ila Mungu yupo kabla ya uwepi wa dini.
 
Kuna watu wanaenda kanisani lakini matendo yao ni tofauti na dini inavyotaka.
Wao ndio wachawi, wezi na matendo mengine yanayomchukiza Mungu.

Imani yako ndio itakuokoa.
 
mm pia nipo hivyo . haiamin din huyo bali anaamin uwepo wa nguvu kuu "Mungu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…