hivi haya mapenzi yana raha kweli?

hivi haya mapenzi yana raha kweli?

muhi

Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
51
Reaction score
19
najiuliza hili swali,maana kila siku humu MMU malalamiko hayaishi,
mara sijui utasikia,mpenzi hanifikishi,mara mpenzi mchafu,mara kanitenda,mara kachepuka,mara mbahili,mara ..........
hivi kuna anaekaa na mke au mume ndani ya siku saba bila malalamiko?
 
Ni hulka ya binadamu walio wengi kwamba baya likimkuta ndio anafunguka, unafikiri wanaolalamika hakuna jema hata moja walilolipata kwenye hayo mahusiano? Big NO.
 
Hii ni kutokana hamna aliekamilika, huwez kupata aliekamili kabsa
 
Back
Top Bottom