Hivi hawa watangazaji wako wapi?

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,057
Reaction score
1,868
wanajukwaa naomba kuuliza kwa anaefahamu waliko hawa watangazaji wa kipindo cha usiku wa mahaba wa radio free africa ambao ni Roy maganga na Asia mohamedi kwa kweli walikuwa kipindi wamekimudu.haswa Roy maganga na simulizi zake na sauti yake ulitamani kipindi kisiishe.
 
Roy ni mwanaume au mwanamke.........?
 
wanajukwaa naomba kuuliza kwa anaefahamu iliko radio Free yenyewe maana Iringa town hapa kuipata hewan ngumu sana.
 
wanajukwaa naomba kuuliza kwa anaefahamu iliko radio Free yenyewe maana Iringa town hapa kuipata hewan ngumu sana. NAni kaihujumu RFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…