Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
hiki ni kichekesho sio maisha halisi bwana GS
Assume ni kweli...
GS aksante sana.
Sasa kama ni kweli mbona kazi ila uwezekano mkubwa ni kuwa mke ataendelea kuishi na mumewe kama hakuna kilichotokea lol ila angefanyiwa mwanamke sijui mume kama angevumilia
good galNinaomba radhi wote....nimepunguza ukali wa maneno...asanteni sana kwa ushauri wenu mzuri
good gal
I guessed so.....pole brodaExcuse me am not a gal.....
huyo mfungwa nadhani ungepewa huyu noniliii huyu nani huyu...., aaah BWABWA!!.
duh sasa haya maisha uombe isjekukutokea
unaweza ukajikataa