Hivi hawa Vodacom tz wanatuonaga sisi wateja wao ni ma mbumbumbu sana au!!

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Sijui niseme wameishiwa hoja au kwa sababu wamelalamikiwa sana wamepagawa au.
Hivi kama hapo tueleweje sasa
Screenshot_2021-05-03-16-36-21.jpg
 
Hivi mnafanya nini huko?

Kuna mswada uliletwa miaka ya 2017-18 kwamba mtu akiwa na laini ya Voda mfano, anaweza akahamia Airtel bila kubadirisha namba. Wenzetu nje wanafanya hivo.

Aisee ilizimwa kimya kimya na wale top Giants, maana watu wangehama wakaamia mitandao iliokua inachipukia.
 
Back
Top Bottom