Hivi hawa raia wana shida gani?

Hivi hawa raia wana shida gani?

RockieTJ

Member
Joined
Oct 28, 2020
Posts
74
Reaction score
79
Kuna wanaume wana tabia ya kusomesha wanawake/vibinti ambao hawajawaoa, kwa kuwalipia ada ya shule au chuo na gharama za makazi/malazi.
Yani ukisikia kuchambia sime ndo hii
 
Tatizo Unakuta moyo wa mtu badala ya kusukuma damu unasukuma shahawa. Ni Jukumu la mwanaume kuuambia moyo "acha wenge fanya kazi yako ya msingi, zingatia JD zako"
Hahahaha ah mzee wote wanaojichanganya na hilo la kusomesha wanaangukia pua, na bado unaona kuna raia zinarudia ujinga ule ule. Sijui wanataka medali?
 
Waache waendelee
Watashikwa pasipostahili
1678345162511.jpg
 
Back
Top Bottom