Robati
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 701
- 685
Nani anawapa kiburi na jeuri hawa PSPF ya kushindwa kulipa stahili za wazee wetu kwa wakati? Kila kona nchi hii Wastaafu ni vilio tu, hivi kuna haja ya kuendelea kuwa na Taasisi isiyowajibika kama hii?
Ni wakati sasa Serikali kupitia Waziri mwenye dhamana, ikachukua hatua za haraka ili kunusuru hali hii. Hizi ndio kero ambazo zinaudhi Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yao. Shame on you CCM...