Hivi hapa sijapigwa kweli?

Uliingia mgahawa au Hotel ? Kama mgahawa umepigwa parefu sana ila kama Hotel TAFUTA PESA JOMBAAA
 
Ni kawaida tu ww lipa japo umepigwa

Huwa kuna mgahawa mmoja naenda kula na kila nikila bill ni elf20.

Sasa juz nimeenda kula ila sikuchukua nyama wala samak maana nlkua nmeshiba so ilipo fika muda wa kulipa nikajua leo ntalipa pesa kidogo.,, maana sjachukua nyama wala samak kufika kwa malip muhudumu ananimbia natakiwa kulipa elf20 nkamuliza why wakat sjala nyama wala samak akanambia apa kwetu sahani ni elf20 uchukue nyama usichukue bei ni ile ile, ujaze sahani au usijaze sahani bei ni ile ile

Nikalipa tukabaki kucheka na mudumu maana mm ni mteja wao wa mara kwa mara
 
Aahahahha now naitwa baba lishe ujue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…