Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,734
- 3,310
Kwahiyo mkuu umetongoza mume wa mtu"Hivi wakuu mwanamke anaweza kukupenda bila kuhitaji mawasiliano naye??Maana hapa kama nipo njia panda hivi
Kuna binti nilijaribu kumtongoza baada ya kunipa namba yake sikuwa mtu wa maneno mengi nikamwambia mimi nataka nikuoe akasema yeye ni mume wa mtu. Sikutaka kuamini kama ni kweli nikaanza kumchunguza nikaona alikuwa ananitania sikuwa na panic maana kama ni mume wa mtu mbona yupo chuoni na isitoshe umri wake mbona hauruhusu kuwa na mume maana hata dada yake namfahamu ametoka kuolewa juzijuzi tu hapa sasa iweje aolewe kabla ya dada yake.
Sasa nikawa najaribu kuweka ukaribu nae kupitia mawasiliano ya simu ila naona siku hizi hapokei simu zangu wala kujibu sms kila nikimpigia unakuta simu inaita wala hapokei sametimes anakata kabisa.
Kwakuwa tupo chuoni tena college moja kukutana nae physically ilikuwa ni jambo la kawaida kila nikikutana naye huwa ananichangamkia sana ila nikimuuliza mbona hupokea simu zangu ananijibu kukutana na mimi tu inatosha sio lazima iwe simu.
Nikamuuliza kama ni hivo basi namba zangu futa ila hataki kufuta namba zangu kila nikiingia watasapp nakutana na status zake naona bado kasave namba zangu.
Sasa huwa najiuliza hivi apa kuna mapenzi kweli wakuu au nipige chini niendelee na hamsini zangu
#Natanguliza shukurani wakuu
Mapenzi yananichanganya mkuu mpaka nashindwa kuandika vitu mkaelewa ni sameheni nipo kipindi kigumu mkuu ongeza na uelewa wako unirahisishieMkuu Sio kwa ubaya ila hebu ludia tena Kusoma ulichokiandika.
Mwenyewe nashangaa hivi anakuwaje mke wa mtu wakati yupo chuoni na umri wake ni mdogo wa kuwa mume wa mtuMke wa mtu tena?
Sio Dah sorry mkuu ni typing error ila nimesharekebishaKwahiyo mkuu umetongoza mume wa mtu"
Huu uzi haueweki kabisa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Usipokuwa makini kiuandishi hatukawii kuandika:-Mapenzi yananichanganya mkuu mpaka nashindwa kuandika vitu mkaelewa ni sameheni nipo kipindi kigumu mkuu ongeza na uelewa wako unirahisishie
Sorry wakuu nimekosea kutypeKwahiyo mkuu umetongoza mume wa mtu"
Huu uzi haueweki kabisa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] stress za mapenzi mkuu changanya na ugumu wa maisha ndio hivi sasa[emoji28][emoji28]Mume wa mtu
Nilikosea kiuwandishi nimesharekebisha mkuu!!Mume wa mtu tena?
Okay tuchukulie ulimaanisha mke wa mtu, sasa ulimtongoza akakukataa na akakupa sababu yeye nu mke wa mtu na kusisitiza msomamo wake kakata mawasiliano na wewe inakuwaje unauliza kama Kuna mapenzi hapo?
We vipi wewe?
Nimekuelewa π π[emoji23][emoji23][emoji23] stress za mapenzi mkuu changanya na ugumu wa maisha ndio hivi sasa
Mkuu nimesharekebisha ni mke wa mtu sio mume wa mtu naombeni samahani sana wakuuUnatongozaje mume wa mtu,ukipigwa pipe je!?
Nakushauri achana nae huyo demu,kwasasa kama mtu uko na future nae hutakiw kumlazimisha sana kuwa naeMkuu nimesharekebisha ni mke wa mtu sio mume wa mtu naombeni samahani sana wakuu
Naombeni radhi wakuu ni tatizo la kiuwandishi nimesharekebishaUsipokuwa makini kiuandishi hatukawii kuandika:-
-chai kwa matembele,
-famba,
-conman,
-huna jinsi/si me wala ke.
Asante kwa ushauri mkuuNakushauri achana nae huyo demu,kwasasa kama mtu uko na future nae hutakiw kumlazimisha sana kuwa nae
Kumbuka unaweza kumshawish leo ukafanikiwa lakini baadae atakusumbua Tena