hivi hapa JF...wakaka

Jaman mwanaume hasifiwi kwa umbo wala sura.mwanaume mashine tena ikoboe na kusaga kabisa hata kam mwanaume huyo ni kijiti kwa wembamba kama the finest .hvyo vifua ni upepo tu,akipata pancha hatamaniki huyo.bora hata mwenye kitambi na nyama za bia anaweza kukupa faraja za burudani kitandani maana mashine yake haiwez ishiwa upepo km hao.
 
jaman mwanaume hasifiwi kwa umbo wala sura.mwanaume mashine tena ikoboe na kusaga kabisa hata kam mwanaume huyo ni kijiti kwa wembamba kama the finest .hvyo vifua ni upepo tu,akipata pancha hatamaniki huyo.bora hata mwenye kitambi na nyama za bia anaweza kukupa faraja za burudani kitandani maana mashine yake haiwez ishiwa upepo km hao.

duh first lady
sijawahi kukusikia ukiwa more open
na maneno ya uwazi hivi....

Leo nimekuona kwenye another light....a different one...
 
Jaman mwanaume hasifiwi kwa umbo wala sura.mwanaume mashine tena ikoboe na kusaga kabisa hata kam mwanaume huyo ni kijiti kwa wembamba kama the finest .hvyo vifua ni upepo tu,akipata pancha hatamaniki huyo.bora hata mwenye kitambi na nyama za bia anaweza kukupa faraja za burudani kitandani maana mashine yake haiwez ishiwa upepo km hao.

:whistle:
 
nisome vizuri kwnye post zangu mara zote niko open.labda unachanganya na firstlady 1.
 
Mh haya sie tunaopenda vimbaumbau tutajiju kwenye hii thread
 
Jaman mwanaume hasifiwi kwa umbo wala sura.mwanaume mashine tena ikoboe na kusaga kabisa hata kam mwanaume huyo ni kijiti kwa wembamba kama the finest .hvyo vifua ni upepo tu,akipata pancha hatamaniki huyo.bora hata mwenye kitambi na nyama za bia anaweza kukupa faraja za burudani kitandani maana mashine yake haiwez ishiwa upepo km hao.
Loh! Nimecheka mpaka basi yaani we mwanamke balaa tupu
 
View attachment 22536

yupo aliye fit namna hii????nimeona mahali kuna BABU humu wa kukagua sijui matiti ya wadada kwa ajili ya wapwazzz wa kiume.....jamani mie najitolea kuwa BIBI wa kukagua wakakazzzzzzzzz kwa wadada wa JF....:msela::msela::msela::hungry::hungry::peace:

Pauline.....hebu njoo huku tujadili haya mambo ya ukaguzi.

Wakaguzi ni lazima tuwe na sera moja. Babu mkaguzi nina katiba ya ukaguzi.

Lakini kabla hujaja hakikisha ule mgomo wako wa kukata mauno umeusitisha.

Kamwe huwezi kagua,
mauno ukibania,
Hautakuwa na nia,
kwa babu kujiungia

Utapata tabu sana, na kaziyo hitafana!:clap2::clap2::clap2:
 
Jaman mwanaume hasifiwi kwa umbo wala sura.mwanaume mashine tena ikoboe na kusaga kabisa hata kam mwanaume huyo ni kijiti kwa wembamba kama the finest .hvyo vifua ni upepo tu,akipata pancha hatamaniki huyo.bora hata mwenye kitambi na nyama za bia anaweza kukupa faraja za burudani kitandani maana mashine yake haiwez ishiwa upepo km hao.

Except weupe....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom