G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,359
- 5,209
Kila anachokifanya lazima ashambuliwe, hivi, wanaomshambulia kwa maneno yote haya ivi vyote alivyovifanya ni batili...hata ile kukumbushia tu kuwa nchi inaangamia kwa madawa ya kulevya si jambo la maana, ingawa approach yake haikufurahisha wengi, hata kumchangia yule aliyechomwa visu na scorpion nalo ni neno, sbu kulikuwa na watu wengi wenye hela zao lkn hakuna hata aliyethubutu...hayo ni baadhi ya machache ila swali langu linabaki pale pale, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, je, Makonda hakuna alichokifanya hata kimoja kwenye jamii cha kusifiwa? Nawakilisha....