Meritta JF-Expert Member Apr 26, 2011 1,303 293 Oct 13, 2011 Thread starter #21 mikatabafeki said: X-PLASTAZ ambao nyimo zao mara nyingi hupigwa trace tv,ch 0 hata mtv base Click to expand... hiv ndo kuna mmoja wao alifariki au nimekosea
mikatabafeki said: X-PLASTAZ ambao nyimo zao mara nyingi hupigwa trace tv,ch 0 hata mtv base Click to expand... hiv ndo kuna mmoja wao alifariki au nimekosea
MKATA KIU JF-Expert Member Nov 22, 2010 2,878 6,297 Oct 13, 2011 #22 Kwa wasanii sina uhakika na lady jaydee, but kwenye sports Hasheem Thabeet nazani amefika levo za kuwa superstar
Kwa wasanii sina uhakika na lady jaydee, but kwenye sports Hasheem Thabeet nazani amefika levo za kuwa superstar
sensa JF-Expert Member Nov 1, 2010 397 22 Oct 13, 2011 #23 Mpoto keshakula award kibao za kimataifa kwa mashairi yake pia Rashid Matumla kwa kuzichapa.
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,064 7,196 Oct 13, 2011 #24 Cestus said: vilaza tu! Click to expand... ha wapi..jipange..
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Oct 13, 2011 #25 Labda wamuombe jk akienda nje awafanyie promo. Ila kwasasa hakuna kitu.
Mzee JF-Expert Member Feb 2, 2011 13,597 5,788 Oct 13, 2011 #26 ma'swagga said: hiv ndo kuna mmoja wao alifariki au nimekosea Click to expand... anaitwa Father Nelly, alipigwa kisu.
ma'swagga said: hiv ndo kuna mmoja wao alifariki au nimekosea Click to expand... anaitwa Father Nelly, alipigwa kisu.
Roulette JF-Expert Member Dec 15, 2010 5,579 5,381 Oct 13, 2011 #27 Kwa kweli style ma mziki tume specialize haivutii watu wa ulaya na hawawajui wana muziki wetu.
Meritta JF-Expert Member Apr 26, 2011 1,303 293 Oct 13, 2011 Thread starter #28 Barraza said: wasanii wetu wamelenga soko la nyumbani, mara nyingi wanapofanikiwa kusikika kwenye redio na kutazamwa kwenye TV za nyumbani hudhani kuwa wamefika, na kubakia kubweteka Click to expand... kweli barraza
Barraza said: wasanii wetu wamelenga soko la nyumbani, mara nyingi wanapofanikiwa kusikika kwenye redio na kutazamwa kwenye TV za nyumbani hudhani kuwa wamefika, na kubakia kubweteka Click to expand... kweli barraza
V valid statement JF-Expert Member Sep 18, 2011 2,851 870 Oct 13, 2011 #29 usupastaa wakati maslahi ya kazi zao hakuna. Bora wasijulikane tu! Wasanii wengi maisha yao MAGUMU.
Smatta JF-Expert Member Nov 5, 2008 2,350 730 Oct 14, 2011 #30 FiD Q ni superstar, achana na akina Ally Kiba wale wabana pua
Ginner JF-Expert Member May 8, 2011 1,459 1,832 Oct 24, 2011 #31 Bongo tuna ma star hatuna ma superstar
Mshindo JF-Expert Member Mar 5, 2009 478 186 Nov 2, 2011 #33 Smatta said: Jay z si superstar, Jayz is the God MC, he is a demi God.. damn Click to expand... wee weee weee.....tema mate chini! Usije kumponza huyo jamaa yako aisee....watu walioshirikishwa na hilo jina isivyo walikufa ghafla! Unamkumbuka mfalme herode?
Smatta said: Jay z si superstar, Jayz is the God MC, he is a demi God.. damn Click to expand... wee weee weee.....tema mate chini! Usije kumponza huyo jamaa yako aisee....watu walioshirikishwa na hilo jina isivyo walikufa ghafla! Unamkumbuka mfalme herode?