kibaigwa finest Member Joined Oct 18, 2026 Posts 31 Reaction score 31 Yesterday at 2:10 PM #1 Haji MANARA "Kwa sasa timu yangu tunapaswa kuungana pamoja ili tuvuke nyakati tunazopitia na kurudi kwenye ubora wetu. lakini swala la usajili tuwe tunalizingatiia sana sio sehemu ya kufanya masihara au kusikiliza mihemko ya mashabiki."
Haji MANARA "Kwa sasa timu yangu tunapaswa kuungana pamoja ili tuvuke nyakati tunazopitia na kurudi kwenye ubora wetu. lakini swala la usajili tuwe tunalizingatiia sana sio sehemu ya kufanya masihara au kusikiliza mihemko ya mashabiki."
B baliyanga Member Joined Oct 9, 2026 Posts 11 Reaction score 11 Yesterday at 2:26 PM #2 Yule jamaa analeta fitna yaan anao uwezo wa kuzungumza na viongozi direct ila anatak public attention
Yule jamaa analeta fitna yaan anao uwezo wa kuzungumza na viongozi direct ila anatak public attention
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 4,783 Reaction score 5,383 Yesterday at 2:29 PM #3 Aliposema kipindi cha nyuma alikuwa akiwaona mashabiki wa Yanga wanapita anatamani kuwarushia mawe, alishawahi kufuta ile kauli?
Aliposema kipindi cha nyuma alikuwa akiwaona mashabiki wa Yanga wanapita anatamani kuwarushia mawe, alishawahi kufuta ile kauli?