Hivi expert wanatakiwa wawe na sifa gani?

Shembago

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
332
50
Wana JF,

Nchi yetu imekumbwa na tatizo kubwa la kimfumo au ndio ile tunaosema Ombwe la Uongozi,Kuna Rundo la hawa wenzetu weupe waookuja kwa migongo ya uwekezaji na wakijiita maexpert lakin wengi vichwa vyao ni " Kiazi" haswa katika Tobacco Industries.Nijuavyo mimi Expert natakiwa awe ni SKILLED,PROFESSIONAL AND KNOWLEDGEABLE KTK FIELD YAKE.lakin wengi wanaakuja kama Trainee but after One year or two wanarudi wanakuwa maboss wa weusi halafu kila Mzungu lazima awe juu ya mweusi hata kama ni kilaza,Hivi Expert natakiwa aweje katk nich hii ya Tz? Wizara ya kazi ipo wapi? Uhamiaji mpo wapi? Yet vijana wanakosa ajira wakati wapo watanzania smart kwelikweli wangefanya hizo kazi halafu Mtu anakuambia Maisha bora kwa kila mtanzania? kweliiiiiiiiiiiii!! Pia hao hao wazungu wa double salary,First Localy and Taxed then second salary UsD untaxed hata TRA hawajui hili,Sasa nchi hii siinaliwa sana jamani? Sheria ya hawawatu kufanya kazi huku ikoje?

Naomba kuwakilisha,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom