still umerudi kwenye point yangu kupendana hakuna ni kuoneana huruma tuKusalitiana,inadepends,kuna sababu maalum mda mwngn..
Kuoa au kuolewa pia zipo sabab nyng,,mfn mkeo kafa hutokuja kuoa ww milele??
Kuoa wake wanne sheria ya dini,,,iwapo mke mgumba rukhsa kuoa,mke hawez kukupa unyumba vzry apo oa,mke anaugonjwa wa kudum ambao unamfanya askupe unyumba unaoa mke wa pili,izo ndo baadh za sabab..
Duniani upendo upo ,kupendana kupo tn sn tu,sema hukupata mwenza wa nyota yko ambae mloendana...
Hata huko Baltimore hakuna kupendana ?ulimwengu wa sasa unatisha...
hahahahaha...we nawe unachekeshaHata huko Baltimore hakuna kupendana ?
Usiseme kupenda hakuna hii dunia ni kubwa,hukupita kila uhusiano ukachunguza,wapo weng tu mapenz yao ni ya dhati..still umerudi kwenye point yangu kupendana hakuna ni kuoneana huruma tu
mtu unaempenda huwezi ukamsaliti
hapo kwenye sheria ya dini ndo yale yale ya kuoneana huruma
Truth indeedTrue love is like a GHOST. FEW have seen it, MANY have just heard about it.
unazunguka halafu unarudi pale pale kwenye point yanguUsiseme kupenda hakuna hii dunia ni kubwa,hukupita kila uhusiano ukachunguza,wapo weng tu mapenz yao ni ya dhati..
Na kuhusu dini kila liloletwa hapa ulimwenguni kwaajil yetu bas ndan yake linamanufaa makubwa japo sisi wenyew binadamu tunachukulia kitu normal
Wewe nawe huelewek mkuu naona hatufahamiani kiswhili,tutafute lugha ingn tuwasilishe hii mada kwa uzuriunazunguka halafu unarudi pale pale kwenye point yangu
Hahahah umeona eeeehKwa hapa kwetu tumeshasahau hizo habari! Kama huna hela utaishia kupendwa na shemeji zako Tu.
sina lugha nyingine zaidi ya hiiWewe nawe huelewek mkuu naona hatufahamiani kiswhili,tutafute lugha ingn tuwasilishe hii mada kwa uzuri