N nyangindo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2018 Posts 366 Reaction score 339 Jan 7, 2019 #1 Ndugu,kama kuna mtu ye yote mwenye habari za mzee wa mia tisa itapendeza zaidi (Dr Shika) hebu atujuze maana nimemkumbuka sana pale nilipoona miche ya dhahabu iliyokamatwa kule Mwanza,nikadhani isije kuwa ni ile miche aliyosema anaimiliki Dr. Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu,kama kuna mtu ye yote mwenye habari za mzee wa mia tisa itapendeza zaidi (Dr Shika) hebu atujuze maana nimemkumbuka sana pale nilipoona miche ya dhahabu iliyokamatwa kule Mwanza,nikadhani isije kuwa ni ile miche aliyosema anaimiliki Dr. Sent using Jamii Forums mobile app
nadry JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 606 Reaction score 596 Jan 7, 2019 #2 choka mbaya Sent using Jamii Forums mobile app