Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,646
- 164,798
Na kuupanua zaidi mjadala, je Marekani zile 'states' zinazoiunda USA ni 'dola'? Na ni vipi UK?Naomba wanasheria na wataalamu wengine mtusaidie katika hili na itakuwa vizuri mtupe mifano ya hizo state au dola zenye maraisi. Mimi navyojua state(dola) inakuwa na governor au kiongozi mwingine lakini sio raisi. Wanasheria na wataalamu tunaomba mtupe darasa juu ya hili. o Vile vile sio vibaya tukapata definition halisi na ya kitaalamu juu ya dola(state). NB:Huu ni mjadala unaojitegema kabisa hivyo tuwe makini.
Na kuupanua zaidi mjadala, je Marekani zile 'states' zinazoiunda USA ni 'dola'? Na ni vipi UK?
USA - United State of America na hapa ndipo alipochemkia Shivj kwani kule USA kuna Rais mmoja tu na hivyo kwa kauli ya Shivj Zanzibar haikutakiwa kuwe na RaisNa kuupanua zaidi mjadala, je Marekani zile 'states' zinazoiunda USA ni 'dola'? Na ni vipi UK?
Binafsi hapa ndo 'wasomi' leo wamenichanganya kabisaNdio hata mimi najiuliza! Huu ni upotoshaji wa makusudi kabisa!
Mimi naomba mwenye kutetea kauli hiyo aje na mfano wa dola ya aina hiyo na si kupiga makelele tu.USA - United State of America na hapa ndipo alipochemkia Shivj kwani kule USA kuna Rais mmoja tu na hivyo kwa kauli ya Shivj Zanzibar haikutakiwa kuwe na Rais
prof shivji nae anaweza tu kukosea,kwa kutoa mfano wa usa.kuna rais mmoja na kuongoza majimbo,hvyo basi zanzibar haipaswi kuwa na rais hata kidogo,muungano uliasisiwa kimizengwe na baba wa taifa,nyerere alikuwa anafanya mambo kimizengwe tu nae,
prof shivji nae anaweza tu kukosea,kwa kutoa mfano wa usa.kuna rais mmoja na kuongoza majimbo,hvyo basi zanzibar haipaswi kuwa na rais hata kidogo,muungano uliasisiwa kimizengwe na baba wa taifa,nyerere alikuwa anafanya mambo kimizengwe tu nae,
Tatizo la kufanya mambo kisanii ndio hilo. Hata uwe na shahada na uzoefu wa aina gani, usiposimamia mambo kwa uhalisia, ukweli, na facts, na badala yake ukafanya kisanii ili kuridhisha baadhi ya makundi ni lazima utajichanganya - haiepukiki. Muungano wa USA kuufananisha na wa Tz wapi na wapi? USA ni nchi moja, Rais mmoja, majimbo mengi (53) under the same sovereign state.
Inachopendekeza Rasimu ya Warioba ni kuelekea muungano sawa na wa USA kwamba tuwe na nchi moja (Tanzania), chini ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu mmoja na majimbo mawili (Tanganyika na Zanzibar) kama yalivyo ya USA. Sijui kwanini wasomi wazima wanashindwa kuona hilo.
Amekuwa prof.kilaza kabisa kwa kudanganya umma!
km kilaza mbona kazaa na mamaako?au unajifanya umesahau? au ukilaza umekuja coz yeye ni mzenji?chuki tu, mtakufa na vijiba vya roho