hivi DK ni namba za nchi gan?

Duh...hivi hapo 0713 unaifikiaje!!!!Lol
 
0713,0714,0718,0719,0712,.....acha wapigwe tu..hamna namna
 
Kuna umuhimu wa kuihamishia laini yangu ya tigo kwenda 4G...
 
Wadada wa bondeni wana neema za Allah (in sheikh Kipozeo voice). Huwa ninawaambia walibeba mizigo yote kwenda nayo bondeni wakatuacha wengine na flat screens.
Unafurahisha! Mizigo hiyo ni furaha ya macho kwenye majambo inasumbu wala raha hakuna na ukute ana Kitambi utaning'inia weeee utasalimu flat screen
 
Hiyo mibinuko ni muhimu kwanza kupata pa kushikilia lakini pia inahamasisha
 
Naam mianguko hutokea sana wakati huo na hasa mitelezo
 
Wadada wa bondeni wana neema za Allah (in sheikh Kipozeo voice). Huwa ninawaambia walibeba mizigo yote kwenda nayo bondeni wakatuacha wengine na flat screens.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…