HaaaaTAFUTA PESA MKUU AU SIVYO KILA SIKU UTALALAMIKA HUMU UKIONA WENYE PESA WAKITUMIA
TAFUTA PESA MKUU AU SIVYO KILA SIKU UTALALAMIKA HUMU UKIONA WENYE PESA WAKITUMIA
Ukishasema Mungu atamuonesha au dunia itamuonesha huo ndio mwisho wa kufikiri kwako..Haya mambo anayofanya Diamond mitandaoni , hata wadogo zake akina young na dogo janja hawafanyi hivyo , diamond is no longer in experimental phase , kashafanya upuuzi wote, umri umeenda now , he has a family now , hata kama ameachana na mama watoto zake , mambo anayoyafanya kwenye mitandao ya kijamii ni fedheha kwa familia yake na kwake mwenyewe . Pengine anaona kaishika serikali mkononi hawana la kumfanya, Ila akumbuke we all reap what we sow, siku atakutana na pigo takatifu ndipo atakapojua kuwa pesa na umaarufu sio kitu .
Kama wazazi wake wameshindwa kumkanya na serikali imeshindwa kumkanya, basi dunia ipo itamfundisha vizuri tu.
Diamond hana Amani tangu waachane na zari pia watu wanampuuza, sasa anafanya huo ujinga kujitaftia Amani ya moyo.akifikiri ana waumiza hamisa na Zari, bora ajiheshimu hamna asiyefanya hyo kitu
si kuna taarifa kwamba tayari Dally Kimoko amemtembelea ndio maana Zari akaondoka? Asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu, Mambo mengi ya kipuuzi anayoyafanya kwa sasa tumsamehe gitaa la Kimoko sio mchezo
Sasa hivi kachaganyikiwa had anatoka na vtu vibovu kuachwa kunauma asikudaganye mtu kuachana au kuachwa maumivu hayakwepekiIla yote anajutia kuachana na zari bwana , yan akili haimkai sawa
Tununu aliona kuzaa ndo kigoma mwisho wa reli eeeh.Uzuri zari Ana life lake , angekua goalkeeper kama tununu angekua bado anakazana kwa domo
Ametusaidia bodaboda Huku tandale na matank ya. MAji shulenunajua diamond platnumz jana kapeleka mtu india kwa matibabu na gharama ni milioni 50
kabla hujamponda jiulize we umechangia shilingi ngapi binadanu mwenzako atibiwe??
unajua kama last week diamond kagawa bima za afya ngapi? na mitaji kwa kina mama wangapi?
unajua hizo hela diamond anazisaka vipi??
vituko kama hivyo anavyopost ndivyo vinaleta hela... maana anapata attention za mashabiki
shikamooBabuu ebu niondolee ushamba wako hapa , pesa wanazo wakina Jay z na wametulia na ndoa zao , hata kama wana cheat wanafanya siri siri , Ila waswahili kama nyie na malimbukeni msioenda shule mkipata dunia inakoma
Hahaha[emoji23] [emoji23]Wakati wa kutafuta hela watakuangalia tu.
Ila muda wa kuzitumia ukifika ndo utawasikia washauri na wazee wa busara zao!
Tununu aliona kuzaa ndo kigoma mwisho wa reli eeeh.