Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,965 Reaction score 13,944 Aug 6, 2011 Thread starter #21 matungusha said: ukiona hivyo ujue mkuu wa mkoa hana umuhimu wowote its just a political gift to retired soldiers and cc cadres... Click to expand... Pamoja na hayo,ukikaimu mkoa/wilaya unavuta mshahara na marupurupu mara mbili siyo?
matungusha said: ukiona hivyo ujue mkuu wa mkoa hana umuhimu wowote its just a political gift to retired soldiers and cc cadres... Click to expand... Pamoja na hayo,ukikaimu mkoa/wilaya unavuta mshahara na marupurupu mara mbili siyo?
S Sting007 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 274 Reaction score 43 Aug 6, 2011 #22 filosofia ya cdm ya kuigawa nchi kimajimbo ili kupunguza gharama zinazoliingizia taifa hasara imewasuta ndo maana wanaona uzushi kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa.
filosofia ya cdm ya kuigawa nchi kimajimbo ili kupunguza gharama zinazoliingizia taifa hasara imewasuta ndo maana wanaona uzushi kuchagua wakuu wa wilaya na mikoa.
R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,159 Aug 6, 2011 #23 Ngongo said: Mkuu nimesoma mabandiko yako mengi tangu ujiunge JF hakuna lilionikuna kama hili bravo. Click to expand... Astaghafirullah
Ngongo said: Mkuu nimesoma mabandiko yako mengi tangu ujiunge JF hakuna lilionikuna kama hili bravo. Click to expand... Astaghafirullah
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,965 Reaction score 13,944 Aug 9, 2011 Thread starter #24 NasDaz said: Astaghafirullah Click to expand... Ni mawazo yake,kuna ubaya wowote?
W WildCard JF-Expert Member Joined Apr 22, 2008 Posts 7,505 Reaction score 2,418 Aug 9, 2011 #25 Ulimakafu said: Ni mawazo yake,kuna ubaya wowote? Click to expand... KATIBA mpya itamaliza yote haya. Mchakato wa kuunda Tume umefikia wapi?
Ulimakafu said: Ni mawazo yake,kuna ubaya wowote? Click to expand... KATIBA mpya itamaliza yote haya. Mchakato wa kuunda Tume umefikia wapi?
CAMARADERIE JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,419 Reaction score 1,929 Aug 9, 2011 #26 Nadhani hata nchi inakaimiwa
W WildCard JF-Expert Member Joined Apr 22, 2008 Posts 7,505 Reaction score 2,418 Aug 9, 2011 #27 Jiulizeni tu hata hao mawaziri wana kazi gani ya maana pale kwenye wizara zao? Kusoma bajeti?
W WildCard JF-Expert Member Joined Apr 22, 2008 Posts 7,505 Reaction score 2,418 Aug 9, 2011 #28 CAMARADERIE said: Nadhani hata nchi inakaimiwa Click to expand... Kwa namna tulivyompata JK kuwa Rais wetu nakubaliana nawe. Wenye Urais wao wapo.
CAMARADERIE said: Nadhani hata nchi inakaimiwa Click to expand... Kwa namna tulivyompata JK kuwa Rais wetu nakubaliana nawe. Wenye Urais wao wapo.
mbweta JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 600 Reaction score 81 Aug 9, 2011 #29 Mkuu wa mkoa wa dar ni rais.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,965 Reaction score 13,944 Aug 10, 2011 Thread starter #30 WildCard said: Jiulizeni tu hata hao mawaziri wana kazi gani ya maana pale kwenye wizara zao? Kusoma bajeti? Click to expand... Yaani walio wengi ni mzigo kwa kweli.
WildCard said: Jiulizeni tu hata hao mawaziri wana kazi gani ya maana pale kwenye wizara zao? Kusoma bajeti? Click to expand... Yaani walio wengi ni mzigo kwa kweli.