McCain JF-Expert Member Dec 2, 2016 1,169 517 Mar 22, 2017 #1 Hivi CWT imemalizanaje na serikali kuhusu haya makato yaliyo nje ya mkataba?
mbudunge JF-Expert Member Jul 7, 2015 1,735 1,089 Apr 18, 2017 #5 Hii 15% inafanya niwe mnyonge kweli
M MTABO Member Mar 6, 2014 95 57 Apr 18, 2017 #7 McCain said: Ivi CWT imemalizanaje na serikali kuhusu haya makato yaliyo nje ya mkataba? Click to expand... Hawajafanya chochote. wao wako bize na maandilizi ya mabonanza ya mei mosi.
McCain said: Ivi CWT imemalizanaje na serikali kuhusu haya makato yaliyo nje ya mkataba? Click to expand... Hawajafanya chochote. wao wako bize na maandilizi ya mabonanza ya mei mosi.
McCain JF-Expert Member Dec 2, 2016 1,169 517 Apr 18, 2017 Thread starter #8 Tanzania ya viwonder jeuri imewapa siasa hadi wamepoa ili panga la 15% liendeleeeee