HIVI CUF MBONA HAISIKIKI KISIASA

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,206
3,617
JAMANI HIVI CUF IMEKUWAJE MBONA KATIKA SIASA ZA TANZANIA HAISIKIKI.

NAKUMBUKA ENZI ZILE CUF WANA SERA ZA JINO KWA JINO, WATU NGANGARI LAKINI SASA HIVI CHAMA KIPO KIMYAA SANA ZILE HARAKATI KAMA ZAMANI HAKUNA,

NOW DAYS CHAMA KINACHOSIKIKA SANA NI CHADEMA , WAKIPIGA HARAKATI.

HATA HIYO UKUKUTA NAONA NI CHADEMA HADI UKAWA NI CHADEMA NDO VINASIKIKA WAKIPIGA HARAKATI ZA KISIASA

LAKINI HUWA NAJIULIZA IKO WAPI CUF , TATIZO NI NINI HAPO NAONA CHAMA KAMA VILE KINAANGAMIA
 
Back
Top Bottom