Hivi chelsea ni timu au timuatimua???


MeNaco.com

MeNaco.com

Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
94
Points
95
MeNaco.com

MeNaco.com

Member
Joined Sep 1, 2011
94 95
ukitaka kupata matatizo ya kushabikia basi shabikia chelsea, maana hawa watu sijui ni timu, mfano wa timu au ni wazee wa kutimua timua. ndani muda mfupi wanaatimua makocha sasa sijui Chelsea itaendeshwa na mfumo gani wa soka maana hakuna kocha anayekaa na mfumo wake pale Chelsea ukadumu. hata kama alikuja na mfumo mzuri akianza tu kufundisha mfumo wake wanafukuza. duh Chelsea ni TIMUTIMUA HIGH SCHOOL. GGMU
 

Forum statistics

Threads 1,285,566
Members 494,675
Posts 30,866,938
Top