Jamani hebu tujadilini hoja za maana,tumechoka na habari za huyu Shibuda, kila mtu mwenye akili ameshamuelewa Shibuda kuwa ni mropokaji
halafu mtu mwenyewe siyo riziki, achaneni naye. Dawa ya Boflo kama lile ni kulipotezea tu kumjadili saaana mnampa kichwa .
dawa ya boflo chai.
subirini birika lipo kunako moto.
hakuna kumwachia huyu sema mimi na wewe hatupatani kwenye hiyo avatar yako!shibuda ni mtaji wa chadema,wasimfukuze wamuache tu apayuke hadi achoke,kikubwa kuwa watu washamuelewa ni mtu wa aina gani.
KWa mara nyingine, Leo tarehe 19 August, 2011, John Shibuda ameamua kuitukana tena CHADEMA. Anaiita chama masilahi, na uongozi wake ni wa kidikteta. Nauliza, CHADEMA wanamuogopea nini hata wanamuacha anawachafua kiasi hiki? Hivi wakimwaga watakosa nini? Angalia hii link hapo chini ujionee upupu wake.

huyu bwana hana jipya wamwache tu ni mpuuzi!