Ni Kheri iwe ya mabadiliko.M4C milele
Hakuna mkamilifu,na naamini CDM pia wanatambua kuwa wao sio miungu,ni watu waelewa na wana upeo mzuri tu,wanajua kutofautisha mpunga na magugu na naamini ni kutokana na umakini huo ndo wameweza kufika walipo leo,hivyo ni lazima wanakubali "CONSTRUCTIVE CRITICISM" na sio kejeli,kebehi na derogatory propaganda kwa malengo ya watu flani!
- Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania katika miaka ya hivi karibuni.
- Nakubali kabisa kuwa hali ya siasa ilivyo hivi sasa imechangiwa na mapungufu ya serikali ya chama tawala, ccm.
- Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara kwa nini mtu ukibainisha mapungufu ya chama cha CHADEMA unaonekana mbaya na kuishia kushambuliwa kwa matusi na lugha za kejeli. Hii ni matokeo ya ukereketwa ama nini...
- Je, ubaya upo ccm pekee? Chadema ni watakatifu? siasa hizi za kuangalia kibanzi kilichopo kwenye jicho la mwenzio na kusahau boriti lililopo jichoni mwako itatufikisha popote?
- Mi naamini kila taasisi ina mapungufu yake, kwa hiyo utamaduni wa kukosoa ulioibuka hivi sasa miongoni mwa watanzania nashauri ulenge pande zote la sivyo tutakuwa hatutendi haki.
- Kukosolewa ni sehemu muhimu ili uweze kusonga mbele......
nawasilisha.
Unajua maana ya mtakatifu kweli embu rudi kwenye vitabu halafu uje tena.Tena unazungumzia hawa binadamu wa kizazi kilichopo mhh