Hivi CHADEMA mngetoa wapi mawaziri ile 2015?

chadema ilitegemea wakubwa ambao lowassa alitegemea kuhama nao toka ccm,na walipopotelea angani na chadema ikapotelea angani.

yaani utoke nyumba ya kupanga mgomgo wa tembo pale ufipa uje kuingia ikulu ukitumia chama taasisi ya baba mkwe?

LA HASHA!
 
Hata Kingwendu anaweza. Tena aweza kuwa mzuri zaidi maana watu wanaweza kuishi kwa vicheko kuliko kwa maumivu na mateso kama sasa.
Erythro achana nahuyo mkumbushe wale walio toa 350M ndani ya 24hrs watashindwaje kuongoza ktk 5yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…