Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,528
- 287,073
Chama kinacholelewa na mtu mmoja kinaogopwa kwenye uchaguzi !Tumia akili; hoja ni kwamba, chama kama taasisi kinalelewa na mtu binafsi. Kwa maana nyingine, mtu anakuwa na nguvu kuliko taasisi. Sasa wewe unasema CCM kinalelewa na polisi; hata hivyo unachosema hakina ukweli. Hata kingekuwa kweli, polisi ni taasisi na sio mtu binafsi, hivyo tumia mifano inayorandana na hoja.
Hebu angalia mawaziri wa JPM uniambie ni nani wa maana kati ya hawa.Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
CHADEMA ina rasilimali watu wengi tu ambao wanaweza kuwa mawaziri tatizo linakuja unapoangalia tu wabunge/madiwani kujudge taasisi nzima. On top of wabunge waliopo Rais anaweza teua wabunge hivyo angeweza teua wale CHADEMA wasio wabunge ila wasomi kina Dr marcus n.k kuwa mawaziri na kazi ingesonga mbele.Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
Watu wapo hadi wa kusaza.Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
Soma vizuri nilichoandikaKwakuwa polisi ni taasisi basi ni halali kuibeba ccm. Magufuli bado ana kadi ya NCCR-MAGEUZI, unalijua hilo?
Sio kwamba kinaogopwa bali chenyewe kutokana na kulelewa kihuni na mtu kimekosa hata uwezo wa kujaza fomu kwa mujibu wa kanuni na maelekezo; vigezo na masharti kuzingatiwa. Muhuni usimpe nafasiChama kinacholelewa na mtu mmoja kinaogopwa kwenye uchaguzi !
Unatia aibu sana !Sio kwamba kinaogopwa bali chenyewe kutokana na kulelewa kihuni na mtu kimekosa hata uwezo wa kujaza fomu kwa mujibu wa kanuni na maelekezo; vigezo na masharti kuzingatiwa. Muhuni usimpe nafasi
Kauli za namna hiyo ni hitimisho la mkosa hoja.Unatia aibu sana !
Watasubiri Oil chafu kutoka ccmMimi nishajiuliza hata hiyo 2020 pale chadema nanii mgombea urais??
Kila nikiangalia sioni
Mkuu inshort Chadema na upinzani wa Bongo kiujumla ni kikundi cha watu walioamua kusakatonge nje ya Ccm.Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
Alafu wanakuwa mawaziri bila kuwa wabunge?ndio manaake au wizara zingeunganishwa kama mawaziri wabunge wangekuwa wachache.
Umesema katika angle moja nami wacha nitupie hili, nje ya ccm kuwa madarakani, Hakuna chama kingine chenye manpower ya kujaza nafasi zote serikalini wateuliwa wa Rais kikatiba, vuta picha tu, baraza la mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, DAS, RAS, Wakurugenzi wa halmashauri, jiji, majiji, nk.Nimeambiwa pale hakuna wa kuongoza CHADEMA kama mwenyekiti zaidi ya Mbowe! Huenda ndio maana walimkopa Lowassa toka CCM awe mgombea wao wa urais.
Najaribu kuwaza kama CHADEMA hawana tu mtu wa kuwa mwenyekiti wa chama chao,
Je, ile 2015 wangeshinda urais wangetoa wapi watu wa kuwa mawaziri na mabalozi?
Juzi nilimsikia Seif akisema yeye ndio alieilea CUF na siyo CUF kumlea Seif.
Kumbe wakati CCM mtu anaegemea kwa chama wao wapinzani chama ndio kinaegemea kwa Mtu.
Nikapata jibu kwamba, hivi vyama vya upinzani kumbe havipo kama taasisi bali ni tu vikundi vya watu flani chini ya watu flani na hao watu flani wakiondoka na hivyo vikundi ndio kwa heri.
"Jf tudumishe uhuru wa maoni ili tuwe mfano. Na kwa sababu hiyo huu uzi usiunganishwe wala kufutwa"
jibu hoja wacha vioja,shida yenu mnaulizwa mambo ya msingi lakini mnayajibu ki konyagi konyagi!Mbona ccm inalelewa na polisi lakini umenyamaza ?