Hivi Chadema ina mwanasheria kweli?

Ila ww utakuwa chizi HIVI ulitangaza kuwa Chadema imekufa, lisu kaiua, chauma umemwachia nani
Sasa unazungumzua chadema ipi kiongozi
 
Bwabwa la Abdul Huwa linaridhishwa kweli au linatepeteshwa tu
 
Chizi karogwa tena
 
vitu chadame inapitia hata Mungu hapendi ni swala la muda tu
 
hilo ni jambo muhimu, huru na binafsi gentleman,
porojo na uzushi kama huo unaojaribu kuuleta jukwaani badala ya kujikita kwenye hoja ni kitu nonsense sana aise mtu kusoma!
Hoja mavi kama zako si hoja! ni za kuepuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…