Hivi Chadema bado ipo?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,152
Reaction score
30,850
Wanajishughulisha na nini kwa sasa baada ya kuachana na masuala ya kisiasa na kua kituo cha mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi katika eneo la maziwa makuu?
Na je,
shughuli zao hizo za ukuwadi wa mabwenyenye ya magharibi bado wanazifanyia Nairobi au wamezihamishia DRC?
Na wale vijana vijana wao malofa waliobebwa ufala wa kifikra na kufanywa mamluki wa vibaraka hao wa mabwenyenye ya magharibi na bado wanalelewa pale Nairobi na yule kibaraka mbibi?

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kamuulize mamako wa kizimkazi Hilo swali au mpaka Abdul akupe buku saba.
 
Chadema ipo sana. Tena imara kabisa.
 
 
Kama mtu unaweza kusaliti jamii yako, ukaamua kutetea uovu na mauaji. Ukasaliti haki ukatetea ukandamizaji, utashindwaje kusaliti jinsia yako ya kiume ukaibeba jinsia ya kike?

Ndio maana nasisitiza machawa wanapakatwa halafu mnasema CHADEMA inatetea mashoga
 
Kamuulize msajili, husisumbue watu hapa.
 
bawacha wana mahasira hao ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Mbwaaaa๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Kama haipo kwanini unaiwaza na kuitaja? M
 
Mumeo kila akikuzingua stresses zako zote zinaishia kupandisha uzi wa kipuuzi. Vipi amekuzingua kuhusu matumizi ya sikukuu nini?
 


Nywinywinywiiii... Nyenyenyenyeeee...
Harakati haziuliwi kwa kuua vyama ama kuteka, kutesa, kulawiti na kuua watu!
 

Kama haipo kesi mahakamani ni za nini...!!?
 
ipo moyoni mwako!
ndio maana unashinda kutwa kuiwaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ