Wanatufanya kama wakimbizi ndani ya nchi yetuPia hakuna ruhusa Watanzania kufanya kazi Mashairiki ya kati, hakuna kupata passport bila kupata kazi nje ilihali huwezi pata kazi bila passport
Unaambiwa kalime huku Bashe kachukua chini ya vijana ( probably wahuni wahuni wa uvccm)elfu kati ya mamilioni kufundishwa kulima.
Huyu Bashite aliwahi kumuambia hadharani "shut up".
Duuh sema kila mtu na mtazamo wake..Tena sana
Kila mtu anatafuta pesa kwa kadri anavyoweza lakini wapo wanaofanikiwa kupata zaidi na wengine wanaishia kupata mlo wa siku tu !! Hata ulaya na marekani wapo mpaka Homeless lakini Serikali zao zinafanya kila linalowezekana kuwafanya wapate mahitaji muhimu !! Angalau waweze kuishi !!Hakuna urafiki kati ya tajiri na masikini tutafute pesa watoto waishi maisha bora
Nauunga mkono comment yako hapa kwetu mananchi masikini anaonekana kuwana thamani kipindi cha uchaguzi tuKila mtu anatafuta pesa kwa kadri anavyoweza lakini wapo wanaofanikiwa kupata zaidi na wengine wanaishia kupata mlo wa siku tu !! Hata ulaya na marekani wapo mpaka Homeless lakini Serikali zao zinafanya kila linalowezekana kuwafanya wapate mahitaji muhimu !! Angalau waweze kuishi !!
Exactly !Nauunga mkono comment yako hapa kwetu mananchi masikini anaonekana kuwana thamani kipindi cha uchaguzi tu